Chadema kutomtambua rais ni tatizo kwa CUF -Hamad Rashid

0
457


Hivi karibuni katika siasa za Tanzania kumetokea mabadiliko makubwa hasa baada ya chama cha Upinzani cha CUF kupata nafasi ya kushirikiana madaraka na serikali ya chama tawala cha CCM huko Zanzibar.

Lakini wakati huo huo upande wa bara mambo si shwari katika upinzani kama yallivyo visiwani Zanzibar ambapo kulijaa mtafaruku kiatika miaka kadhaa iliyopita, hivi karibuni kiongozi wa zamani wa upinzani bungeni mbunge wa Wawi kupitia chama cha wananchi CUF Bw. Hamad Rashid alizungumza na Sauti ya Amerika na kutoa msimamo wa hali halisi ilivyo katika upinzani.

Moja ya mambo aliyoeleza ni kuwa hawana tatizo lolote kushirikiana na Chadema lakini suala la Chadema kutomtambua rais wa Jamhuri ya muungano litaleta taabu kwa upande wao. Kwa maelezo zaidi nilipata nafasi ya kuzungumza na Bw.Hamad Rashid na kwanza nilitaka kujua juu ya changamoto zilizopo kuongoza Zanzibar kwa ushirikiano.Bofya hapa

NO COMMENTS