Breaking News: Kubenea Augua Ghafla Dodoma, Alazwa

0
127

Dodoma. Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea ameugua ghafla na kupumzishwa katika zahanati ya Bunge.

Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde amesema leo Alhamisi jioni kuwa mbunge huyo alikwenda katika zahanati hiyo baada ya kujisikia vibaya.
Source:GPL

NO COMMENTS