Monday, January 22, 2018
Bongo5.com watoa picha maalum za ndoa ya Dk.Reginald Mengi na Jacqueline Ntuyabaliwe,...

Bongo5.com watoa picha maalum za ndoa ya Dk.Reginald Mengi na Jacqueline Ntuyabaliwe, Nchini Mauritius

0
2204

Mengi-1

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Ni kama ndoto lakini mwishowe inakuwa si ndoto bali ni tukio halisi baada ya awali kuzagaa kwa picha tofautio 9, za Harusi ya Mfanyabiashara na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Nchini, Dk. Reginald Mengi akiwa katika harusi  na Jacqueline Ntuyabaliwe, huko fukwe za visiwa vya hadhi ya juu Nchini Mauritius.

mengi-3

Mtandao wa Bongo5.com  umekuwa wa kwanza kurusha picha hizo (Exclusive) huku wakiweka ‘brand’ yao kwenye picha hizo ambapo walibandika picha 9 kutoka kwenye harusi hiyo,  iliyosemekana imefungwa mwisho wa mwezi March 2015.

mengi-5

Picha hizo zilinaonyesha pia watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.

mengi-4

Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky, Nchini  Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014. (Tazama picho hizo).

mengi-6Familia ya pande zote mbili

mengi-7Jacky akiwasili eneo maalum

mengi-8watoto wao ambao ni mapacha wakimkaribisha mama yao

mengi-9Tukio maalum la kihistoria likikamilika

mengi-2Jacky akifurahia na wasaidizi wake…

NO COMMENTS