Barakah afunguka alichozungumza na Lissu Nairobi.

0
64

Baada ya kusambaa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha muimbaji, Baraka The Prince akiwa amemtembelea hospitali Mhe. Tundu Lissu nchini Kenya, Bongo5 ilimtafuta muimbaji huyo ambaye ni rais ya label ya Bana Music na kueleza alichozungumza na Lissu baada ya kumtembelea hospitali hapo.

Chanzo:Bongo5.com

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY