Thursday, January 18, 2018
Asilimia 100 ya Tanzania sasa imekuwa ni dijitali

Asilimia 100 ya Tanzania sasa imekuwa ni dijitali

0
303

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu uhamaji kutoka mfumo wa utangazaji wa Televisheni kwa mfumo wa Analojia kwenda Dijitali ambapo asilimia 100 ya nchi sasa imekuwa Dijitali. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala na Ofisa wa Masafa, Christopher Asenga.

Ofisa wa Masafa wa TCRA, Christopher Asenga (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Mawasiliano Mkuu wa TCRA, Semu Mwakyanjala.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Mkutano ukiendelea. 

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habarizajamii.com)

NO COMMENTS