Amani wa Kenya afunga ndoa kwa siri

0
283

Msanii kutoka nchini Kenya Cecilia Wairimu maarufu kama Amani ambaye pia aliwahi kuwa mpenzi wa msanii wa Bong Flava, AY ametaja sababu za ukimya wake wa muda mrefu katika muziki
Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Post, umesema sababu ya ukimya huo wa Amani ni kutokana na kufunga ndoa ya siri na mumewe ambaye ni raia wa Nigeria anayefanya kazi nchini Kenya kama Mkurugenzi wa kikanda wa tawi la kampuni ya simu ya Tecno.

“It’s a done, I’m already married. I’m someone’s wife now. I know many are waiting to see a wedding but I’m one very private person,” amesema Amani.

“That’s why yo don’t see me doing interviews in my house or other intrusive stuff like that,” ameongeza.

NO COMMENTS