Ali Kiba na Abdu Kiba wapagawisha DMV

0
1157

IMG_8711Ali Kiba na mdogo wake Abdu Kiba wakipagawisha wana DMV katika ukumbi wa Fire Station 1 ,Jumamosi June 6,2015.
IMG_8699Wana DMV wakiruka “kimanga”.
IMG_8717Abdu Kiba akighani.
IMG_8639Kazi tu.
IMG_8706Mashabki wakipagawa.
IMG_8635Wana DMV wakipagawa.
IMG_8642
IMG_8828
IMG_8684Akitoa “sumu” mdau haamini kama kamshika Kiba.
IMG_8616
IMG_8715DMK NA Aj Ubao.
IMG_8596Wadau wa DMV.
IMG_8569Kwa picha zaidi ungana nasi baadae.

NO COMMENTS