Tamasha la Uhuru wa Tanzania Dc

0
384


Aj Ubao akifanya vitu vyake na wimbo “Macho yako” ambao uliwakosha watu wengi ndani ya ukumbi huo.

Aj Ubao aliungwa mkono na wengi walioshindwa kujizuia na kupanda jukwaani wakiwamo Beatrice na Jessica Lujwangana (na nguo nyeusi).

Miongoni nmwa waliopandwa na mzuka alikuwa Hamisa a.k.a Miss Temeke .

SHARE
Previous article
Next articleSherehe za Uhuru Dc

NO COMMENTS