0
335


AJ Ubao akikonga nyoyo za mashabiki wake na nyimbo zake maarufu waliofurika kwenye ukumbi wa Millenium Maryland katika tamasha la kuadhimisha sherehe za uhuru wa Tanzania mwishoni mwa juma wasanii wengine walioshiriki ni pamoja na Wakazi, GwaII, Vinnie a.k.a The Kenyan Boy” na Omar Guy.

Dj Kveli akimuandalia Mzee wa Kaza Kamua GwaII kufanya vitu vyake.

Aj Ubao akifanya vitu vyake na nyuma yake akipewa tafu na Omar Guy “Mwananjenje Jr”.

NO COMMENTS