0
392
Mbeza Bodi wa Tp Mazembe klabu bingwa Afrika mara mbili akishangilia bao la ushindi dhidi ya Pachuca ya Mexico katika kinayang'anyiro cha klabu bingwa ya soka duniani .

Hatimaye Tp Mazembe baada ya kushinda mchezo huo wa robo fainali ya klabu bingwa duniani huko Abudhabi sasa itakumbana na Internacional mabingwa wa Brazil katika nusu fainali siku ya Jumanne.

Tp Mazembe imeweka historia ya kuwa timu ya tatu katika bara la Afrika kufikia hatua hiyo ya robo fainali nyingine zilizofikia hatua hiyo ni pamoja na Al Ahly ya Misri na Etoile Du Sahel ya Tunisia.

NO COMMENTS