0
309


Kim Kardashian anaonhgoza katika malipo miongoni mwa nyota wa Realiyty shoes hapa Marekani mwaka jana pekee ameripotiwa kuingiza kiasi cha dola milioni 6. Katika orodha hiyo ya mastaa wa Reality wanaofuata kwa kuingiza fedha nyingi ni pamoja na :
2. Lauren Conrad
3. Bethanny Frankel
4. Audrina Patridge
5. Kate Gosselin
6. Mike “The Situation” Sorrentino.
7. Khloe Kardashian
8. Kourtney Kardashian
9. Pauly D
10. Kendra Wilkinson

NO COMMENTS