RAIS KIKWETE AMTEMBELEA DKT SENGONDO MVUNGI ALIYEJERUHIWA NA MAJAMBAZI


mvu1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) leo Novemba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamosi Novemba 2, 2013

 PICHA NA IKULU