ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE.PINDA ,SHENZHEN CHINA


IMG_0678Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipewa mauwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndegea wa Shenzhen  akitokea Beijing  akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0588IMG_0605 (1)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania kwenye ubalozi  wao mjini Beijing akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Chini, Luteni Jenerali Abdulrahmani Shimbo. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)IMG_0609 IMG_0618Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana  na Watanzania baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa mjini Beijing akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China Oktoba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0938Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza baada ya kutembelea Sheko Container Teminal mjini Shenshen akiwa katika ziara  ya kikazi nchini China. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

SOURCE;DJSEK

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s