LADY JAYDEE AFIKISHWA MAHAKAMANI


Breaking_News-300x178imagesJudith Wambura ‘Lady Jaydee’.
Mwanamuziki mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo. Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi wa Clouds Media Group ambao ni Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga. Tuhuma za kesi hiyo zinatarajiwa kusomwa mahakamani hapo na Hakimu, Athuman Nyamrani Mei 27 mwaka huu. Jaydee aliwasili mahakamani hapo akiwa na mumewe Gadner G. Habash jumatatu mchana na kuongoza moja kwa moja chumba cha makarani wa mahakama hiyo ambao aliwakabidhi hati ya mashitaka hayo.
(Habari na Richard Bukos / GPL)

One thought on “LADY JAYDEE AFIKISHWA MAHAKAMANI

  1. HAWA WATU WAMEZOHEA KUKALIA WATU IL WAPATE WAO, NAKUPA PONGEZI SANA KWANI NI MMOJA WA WANAWAKE WACHACHE ULIYOTHUBUTU NA KUWEZA KAZA BUTI MAMA MUNGU ATASIMAMA NAWE.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s