HATIMAYE RICHARD MLATIE AAGA UKAPERA


IMG_0034-2Bwana Harusi Richard Mllatie Assey a.k.a Mzeee wa Rose Garden” akimvisha pete mkewe Bibi. Jacline Hamson Ghikas wakati wa ndoa takatifu illiyofungwa Ijumaa jijini Dar es Salaam katika kanisa la St. Peters.
IMG_0038-2Maharusi wakipigana busu bashasha baada ya kuvishana pete.
IMG_0069-2
Bwana Harusi Richard Mllatie Assey akiangusha saini katika gamba la kuhalalisha ndoa takatifu.

Bi.Jackline naye akitia sahihi.

Bi.Jackline naye akitia sahihi.


Mzee Mlatie na mkewe Bi.Jackline wakionyesha nondo zao.

Mzee Mlatie na mkewe Bi.Jackline wakionyesha nondo zao.


Wazazi wa Maharusi Mr & Mrs Assey na Mama mzazi wa Bwana harusi wakionyesha furaha baada ya watoto wao kufunga ndoa.

Wazazi wa Maharusi Mr & Mrs Assey na Mama mzazi wa Bwana harusi wakionyesha furaha baada ya watoto wao kufunga ndoa.


DSC_39771-2Wapambe wa maharusi wakati wa ibada ya ndoa takatifu, kulia ni Bw.Mwita.
Maharusi wakitoka kanisani.

Maharusi wakitoka kanisani.Wapambe wakiume ndani ya suti zilizobuniwa na Sheria Ngowi.


Wapambe wakiume ndani ya suti zilizobuniwa na Sheria Ngowi.


Na hawa ndio wapambe wa Bi.harusi.

Na hawa ndio wapambe wa Bi.harusi.

One thought on “HATIMAYE RICHARD MLATIE AAGA UKAPERA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s