MPAMBANO WA WEMA VS JACK WOLPER
Kocha wa Wema Sepetu ,Rashidi Matumla akimvua Joho wema kabla ya kupigana blogspot.com picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpinzani wake Jacklen Wolper wakati wa mpsambano wao.
Refa John Chagu akiwainua mikiono juu mabondia Jacklen Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droowww.superdboxingcoach.blogspot.com
Baada ya mpambano wawili hawo hawo wanaondoka eneo la tukio.
July 9, 2012 at 10:09 am
Pamoja kuwa ilikua ni njia mojawapo ya hamasa lakini walitutia aibu ya karne kwa wote kutotupa hata ngumi moja. Nashawishika kuamini kuwa mikorogo yao imezidi mno hivyo kuparazwa kidogo tu kungeacha kovu lisilotibika> Punguzeni hiyo mikorogo basi siku nyingine mtupe raha tuchangie ipasavyo.
July 10, 2012 at 2:21 pm
Kiukweli usista duu ulizidi jukwaani bana
July 10, 2012 at 2:25 pm
Kiukweli usista duu uizidi jukwaani bana