Archive for May 17, 2012

Kulwa Mbogo ataka taarifa za kulipwa kwa fidia katika mlipuko wa mabomu Tanzania

Posted in Uncategorized on May 17, 2012 by sunday Shomari


Mwanasheria Thomas Fortune Fay wa Kampuni ya sheria ya Fay Kaplan iliyoko Washington Dc Marekani.

ZAIDI ya miaka kumi na tatu baada ya milipuko ya mabomu ya kujitoa mhanga iliyotokea kwenye Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salam Agosti 7,1998, mmoja wa ndugu wa marehemu amemtaka Jim Owen kutoa taarifa kuwa ni lini fidia itaanza kulipwa.
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam leo, Kulwa Mbogo ambaye pacha wake aliyekuwa akifanya kazi katika ubalozi huo alifariki katika tukio hilo.Kusoma zaidi bofya Read more »

Burial ceremony of the late Tanzanian film star Steven Charles Kanumba (Michuzi Media Group)

Posted in Uncategorized on May 17, 2012 by sunday Shomari

Watanzania waliokuwa wakishiriki Big Brother warejea nchini na kuzungumza na waandishi wa habari

Posted in Uncategorized on May 17, 2012 by sunday Shomari

MMOJA WA WATANGAZAJI WA KWANZA VOA SWAHILI HUYU HAPA

Posted in Uncategorized on May 17, 2012 by sunday Shomari

Dr.Aleck Che Mponda akijikumbusha enzi zake ndani ya studio za idhaa ya Sauti ya Amerika akiwa ni mmoja wa watangazaji wa kwanza wa idhaa hiyo ilipoanzishwa Mei 15 1962, pamoja na Mzee Godfrey Mgodo.
Akiwa na Anti Khadija Riyami.
Kushoto ni Aleck Che Mponda Jr na kulia ni mtangazaji mwandamizi Abdushakur Aboud.

MCHEZAJI WA SIMBA PATRICK MAFISANGO AAGA DUNIA

Posted in Uncategorized on May 17, 2012 by sunday Shomari


Taarifa iliyotufikia inaeleza kuwa Mchezaji wa Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam na Timu ya Taifa ya Rwanda, Patrick Mafisango (pichani) amefariki Dunia kwa ajali ya Gari alfajiri ya Alhamisi majira ya saa kumi saa za Afrika Mashariki wakati akiwa njiani kurejea nyumbani kwake.

Kwa mujibu wa Fullshangweblog maiti ya mchezaji huyo imehifadhiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 1,707 other followers