KANUMBA AFARIKI DUNIA

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba amefariki dunia usiku huu habari zinasema mwili wa muigizaji huyo umepelekwa katika hospitali ya taifa ya Muhibili ili kuhifadhia taarifa zaidi tutawaletea baadae kadiri tukakavyozipokea.
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA AMEN.
http://www.fullshangwe.blogspot.com
April 16, 2012 at 10:55 am
unajua watu atushangai mtu kufa bali tunashangaa staili ya kifo kifo alicho kufa kweli ckizur
August 24, 2012 at 6:49 am
I’ll always love you Kanumba,and what you have left in movie industry will be a great booster for me to step in in the industry