DIAMOND APAGAWISHA MLIMANI CITY DAR-ATOLEA NJE HELA ZA WEMA SEPETUMwanamuziki Diamond akifanya vitu vyake katika ukumbi wa Mlimani City Ijumaa usiku katika onyesho lake maalum lilioitwa Diamonds are Forever jijini Daressalaam Tanzania huku Kelvin Twissa na mamaa wakifurahia.
Diamond akiendelea kukamua mlimani City kama unavyojionea ukumbi ukiwa unataka kutapika “full house.”
Bi.Mange Kimambi akiwa na Wema Sepetu huku wakiwa wamezungukwa na waandishi wa habari usiku huo palikuwa hapatoshi.
Diamond akifanya vitu vyake ilikuwa patashika nguo kuchanika.

5 thoughts on “DIAMOND APAGAWISHA MLIMANI CITY DAR-ATOLEA NJE HELA ZA WEMA SEPETU

  1. hivi huyu wema yupo sawa kweli i cant belive it yaani yeye ni kioo cha jamii namuomba abadilike mimi nampenda sana wema lakini anavyo jichanganya anaharibu kwani yeye ni msichana mrembo anasifa zote za kuitwa mrembo (a) anashepu ya kike (b)anasura nzuri (c)anasaouti halisi ya kike ambayo mwanammeyoyote aweza kuwajibika Lakini inanisikitisha kila siku wema wema mala diamond mala kanumba mala oh mala ehhe inasikitisha aabadilike bana atulie anajimaliza mwenywe mwisho wa yote majuto

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s