1. Super Bass- Nick Minaj
2.Rolling in the Deep- Some One Like Yu
3.Walk-Foo Fighters
4.In the Dark- Dev.
5.Look at me now -Chris Brown Ft.Chris Brown & Busta Rhymes.
6.You and I Lady Gaga.
7.I am on One -Dj Khaleed Ft.Drake, Lil Wayne & Rick Ross.
8.Party Rock Anthem-LMFAO
9.Toungtied-Grouplove.
10.CharliE Brown- Cold Play.
Archive for December, 2011
Top 10 Singles : Nick Minaj atamba katika single.
Posted in Uncategorized on December 31, 2011 by sunday ShomariNyimbo 20 bora zilizotamba 2011
Posted in Uncategorized on December 31, 2011 by sunday Shomari

20. S&M -Rihanna
19.Marvin & Chardonnay -Kanye West & Roscoe Dash.
18.Love on top-Beyounce
17.How to Live Lil Wayne
16.My Last-Big Sean Ft.Chris Brown.
15.Party-Beyounce.
14.Lil Wayne & Drake-She Will.
13. Marvin’s Room -Drake.
12.Rolling in the Deep- Adelle.
11.Mick Meal & Rick Ross -Tupac Back.

10.Sure thing- Miguel.
9.YC World wide-ft Future
8.Hastle Hard- Ace Hood
7. I am a Boss -Meek Hill na Rick Ross
6. Run the World Girls -Beyounce
5. N….as in Paris-Kanye & Jay Z
4. Otis- Kanye West & Jay Z
3. Motivation -Kelly Rowland
2.Iam on One -Dj Khaleed Ft.Drake, Rick Ross &Lil Wayne.
1.Look at me know-Chris Brown Ft.Busta Rhymes & Lil Wayne.
Tyler aombwa kumwondoa Kim Kardashian kwenye filam kulikoni?
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday Shomari
Mtengenezaji, muigizaji na mwandishi wa filam mashuhuri wa hapa Marekani Tyler Perry amepata ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashabiki zake.
Ukosoaji huo umetokana na kumtumia Kim Kardashian kwenye filam yake mpya ya Marriage counselor.
Kutokana na hilo waunga mkono wake hao ambao wengi ni watu weusi hasa kwenye makanisa ya Marekani wanamtaka amwondoe mrembo huyo wa Reality show kwenye filam hiyo.
Wanaona kama ni unafiki kuwa yeye kwenye filam ya kushauri watu na ndoa zao ikiwa yake ilimshinda baada ya siku 72! Je hilo ni sawa?
Misa ya kumuaga Steina Mrema Jumapili Januari mosi.
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday Shomari
Hongera Gwamaka Mwaikambo!
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday ShomariKESHO NDO KESHO NEW YEAR’S EVE PARTY WASHINGTON,DC,SAT-DEC 31,THE DEFINITION 2012 @ TABAQ LOUNGE,1336 U ST,DC
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday Shomari*** SAT DECEMBER 31…THIS IS WHAT WE HAVE TO OFFER AT “TABAQ LOUNGE,1336 U STREET,WASHINGTON,DC.*** ***THE ONLY PARTY IN MD,DC,VA THAT GOES TILL 5AM ***
***THE ONLY ONE THAT CHARGE $20 ALL NITE GUARANTEED***
***THE ONLY UPSCALE VENUE WITH HEATED GLASS ROOFTOP,ENJOY THE PANORAMIC VIEW OF DOWNTOWN DC FIREWORKS NO WHERE ELSE****
***THE ONLY INTERNATIONAL PARTY WITH,EAST,SOUTH,WEST,NORTH EVENT PLANNERS****
***THE ONLY PARTY WITH TOP INT’ DJS,SAM,P CITY,SPLACKA B & DJ JOE***
***THE ONLY PARTY WITH CHEAPEST DRINK PRICES AND FOOD ALL NITE*** ***MUSIC BY CAT DADDY DJ JOE-TANZANIA,,DJ SPLACKA B-TANZANIA,,DJ SAM-UGANDA,,DJ P CITY-ZAMBIA. VIP TABLE CALL 3016616207,2406051870
John Ngahyoma afariki dunia!
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday ShomariMwandishi mkongwe wa BBC Johnn Ngahyoma amefariki dunia Ijumaa asubuhi baada ya vita virefu na kansa ya ini.
Taarifa hizo zimethibitishwa na kaka yake Ngalimecha Ngahyoma mjini Dar es salaam leo.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika katika makaburi ya Kinondoni siku ya Jumamosi .
Mpaka alipofariki dunia John alikuwa akifanya kazi na shirika la Utangazaji la Uingereza BBC, mjini Dar es salaam.
John alifanya kazi pia huko Daily News, baadaye alijiunga na ITV/Radio One halafu pia alifanya kazi na shirika la NSSF na baadaye alijiunga na BBC.
Namkumbuka sana Ngahyoma kwa utanashati wake , usomaji wake wa habari habari uliotukuka na pia mshauri na mtu niliyejifunza mengi kwake katika fani ya utangazaji.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake pahala pema peponi. Amen.
Vita ya urais 2015 moto ndani ya CCM
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday ShomariWakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikihaha kutibu makovu yanayotokana na harakati za kuwania urais wa 2015, imethibitika kwamba vigogo wa chama hicho wakiwamo wale wa kundi la wanamtandao linalodaiwa kwamba lilimwingiza Rais Jakaya Kikwete madarakani mwaka 2005 hawaaminiani katika harakati za kugombea urais kupitia CCM.
Kwa mujibu wa uchunguzi wa Mwananchi wa kabla na baada ya vikao vya Nec vilivyomalizika hivi karibuni unaonyesha kwamba vigogo wa CCM kutoka kambi zote wamekuwa wakiendesha kampeni za chini kwa chini kwa ajili ya kujiimarisha na kisha kuweza kuteuliwa kugombea kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu 2015. Kusoma zaidi bofya Read more »
Hatma ya Rashid mikononi mwa Maalim Seif
Posted in Uncategorized on December 30, 2011 by sunday Shomari
Katibu Mkuu CUF, Seif Shariff Hamad Ijumaa anaongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji ya chama hicho kitakachopitia tuhuma za uvunjaji katiba zinazomkabili Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed na wenzake 12.
Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi Wakati Maalim Seif akitarajiwa kuongoza kikao hicho, tayari Hamad Rashid ametangaza kutokuwa na imani na mtendaji mkuu huyo wa CUF baada ya kunasa kile alichokiita, waraka wa siri wa kiongozi huyo, unaoeleza namna ya kumfukuza uanachama.
Wachunguzi wa mambo ya siasa wanatafsiri mkutano wa leo chini ya Maalim Seif dhidi ya hasimu wake kisiasa Hamad Rashid, ni sawa na kwamba ameshika kitanzi kitakachoamua hatma ya uhai au ukomo wa mwanasiasa huyo ndani ya CUF.
Hata hivyo, alhamisi akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu na Maadili ya chama hicho, Abdul Kambaya, alisema watuhumiwa hao wakipatikana na hatia, kamati hiyo inaweza kutoa mapendekezo kwa Baraza Kuu la kutoa onyo, karipio ama kuwafukuza uanachama. Kusoma zaidi bofya Read more »
Halima Mchuka afariki dunia !
Posted in Uncategorized on December 29, 2011 by sunday Shomari
Mtangazaji wa siku nyingi wa iliyokuwa RTD na sasa shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Halima Mchuka amefariki dunia.
Kwa mujibu wa Michuzi blog mtangazaji huyo mahiri wa siku nyingi alifariki dunia kwa ugonjwa wa kiharusi na alianguka akiwa kazini na baadaye kufariki dunia hospitalini.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amen.










