Meli iliyozama ya Mv Islander


Hii ndio taswira ya kusikitisha ya meli ya Mv Spice Islander iliyozama usiku wa kuamkia Jumamosi huko kisiwani Nungwi Unguja.(Picha na Ahmed Mohamed).

About these ads

9 Responses to “Meli iliyozama ya Mv Islander”

  1. Poleni sana watanzania wenzangu inasikitisha watu 200 kupoteza maisha.

  2. Wazanzibar sote tushkurie msiba wa kitaifa yote ni khatma lkn tusiache kusema. INNALILLAAHIWAINNA ILAIHI RAAJIUUN.ALLAH AWAJAALIE KILA LA KHEIR

    • Mungu Awasamehe makosa yao na awape safari ya heri. Ndugu zangu tuwache kumtupia Mungu kwakila kosa tunalofanya. Mola ametupa akili, lakini tunazitumia kwa kuuwa nduguzetu. Viongozi wanaohusika wanaruhusu vyombo vibovu kwa manufaa yao sio kwa wananchi. halafu wanasimama wasema Mungu ameandika, hawana hata aibu.

  3. bismillahi rahmani rahim kwa la m/mungu mwenye kuneemisha neema kubwa kubwa na ndogo ndogo m/mungu awajalie watu hawa walio uwawa awalaze mahali pema peponi ameen
    by:suleiman ahmed suleiman

  4. Anna z.
    MUNGU AZIWEKE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI INNALILLAHI WAINA ILLAI RAJIUNI

    • Msimsingizi Mungu. Amekupeni akili muzitumie, Meli impewa idadi ya kuchukua abiria na mizigo. Mungu hakuwaambia mzidishe idadi. Wahusika inafaa waajibike. hii Meli ya tatu makosa kilasiku ndio hayo hayo.

  5. yaani inabidi waziri wa usafiri aachishwe kazi na afungwe kwa mauaji

  6. Anonymous Says:

    lakini hii meli siyo yenyewe bali hii ni meli iliyozama huko ifilipino walitudanganya tu hizo picha kujua ukweli cheki kwenye UNITED FILIPINO SEAFARERS. lkn mungu awalaze pema peponi

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 1,704 other followers