Msiba mwingine DcBartlet Kamna anasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mume wake marehemu Sabastian Thomas kilichotokea nyumbani kwake Riverdale tarehe 15 Augosti 2011.

Marehemu alisumbuliwa kwa muda mrefu kwa matatizo ya mapafu. . Maziko yatakuwa hapahapa Maryland.

Tunaomba uwajulishe ndugu, jamaa na marafiki wote popote pale walipo kuhusu taarifa hizi na pia tunahitaji ushirikiano wenu wa hali na mali katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wetu huyu Bwana Sabastian Thomas.
Marehemu ameacha mjane.

Shughuli zetu za msiba zitafanyika eneo la
address
5310 62nd Ave,
Riverdale, MD 20737
nyumba ya Mr. & Mrs Sabastian Thomas.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.
Kwa taarifa zaidi piga simu namba hii 301 547 3841 (Home) ahsanteni.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s