Archive for June 28, 2011

NATO kuendeleza majamboz Libya

Posted in Uncategorized on June 28, 2011 by sunday Shomari

Kamanda wa NATO wa operesheni ya Libya anasema majeshi ya muungano hayapunguzi mashambulizi ya anga licha ya wito wa baadhi ya mataifa kusimamisha operesheni hiyo.

Luteni Jenerali wa Canada Charles Bouchard amesema operesheni hiyo inayoingia mwezi wa nne imepata maendeleo makubwa na kwamba mashambulizi dhidi ya raia na serikali ya Libya yamepungua.

Kwa mujibu wa VOA maelezo ya NATO yamekuja wakati mwendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu akiwataka wasaidizi wa Moammar Gadhafi wamkamate na wamfikishe kwenye mahakama hiyo kujibu kesi.

Soma zaidi bofya Read more »

Mr.Tz na Jr. waja na remix ya Careless Whispers

Posted in Uncategorized on June 28, 2011 by sunday Shomari

Rapper Chipukizi wa Washington Dc Jumbe Hamza a.k.a Mr. Tz akiwa na Jr. na kitu hicho Careless Whispers kusikiliza bofya hapo chini.


Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 1,707 other followers