Archive for June 25, 2011

Leo ni kumbukumbu ya MJ

Posted in Uncategorized on June 25, 2011 by sunday Shomari


Ni miaka miwili tangu mfalme wa pop duniani Michael Jackson alipoaga dunia Juni 25,2009. Duniani kote Michael Jackson anakumbukwa .

Na kwa mujibu wa Nielsen Sound Scan mauzo ya nyimbo zake yameendelea kwenda juu hapa Marekani, tangu kufariki kwa Michael mpaka kufikia Juni 2011 zilikuwa zimeshauzwa milioni 16.3 na albam zake nakala milioni 10.6.

Mauzo ya album za MJ baada ya kifo chake yanakadiria kuwa asilimia 33 ya mauzo yake yote yamepatikana baada ya kifo chake.

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 1,708 other followers