Archive for January, 2011

Happy Birthday Vijimambo

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Kama unavyoona keki hiyo inaonyesha ilikuwa nis heamra shamra ambapo watu mbali mbali walijitokeza Millenium klabu kusheherekea mwaka mmoja wa Vijimambo.blogspot.com ya Dj Luke Joe huku yeye mwenyewe akiporomosha misiki ya nguvu.

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Muungwana wa mjini Taji na mamaa.

Mzee wa Chinchila Suda Dula ndani ya nyumba.

Mzee mwenyewe wa Vijimambo Dj Luke Joe akifanya vitu vyake.

Pia ndani ya birthday kutoka kushoto Jackie, Khadija na Bi. Messe Lighate.

Tukisema kwa pamoja Happy Birthday Vijimambo.

Promota maarufu hapa mjini Dick wa DMK

Hotuba ya Balozi Mwanaidi Sinare Maajar kwa wanajumuiya DMV

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Hii ni sehemu ya hotuba ya balozi Mwanaidi Sinare Maajar kwenye mkutano wa jumuiya ya watanzania Dc, metro area mwishoni mwa juma alipochukua fursa hiyo muhimu ya kujitambulisha rasmi kwa wanajumuiya na kuchochea juhudi za kufufua uongozi na jumuiya iliyo kwa ujumla.Ukipenda kusikiliza Bofya hapa chini. Kwa hisani ya Mubelwa wa Bandio Mzee wa Changamoto-Changamotoyetu.blogspot.com
Hotuba ya balozi Dc

Mambo ya mng’ao

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Couple of the Day

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Wakati wa kung’aa

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Posted in Uncategorized on January 31, 2011 by sunday Shomari

Mh.balozi Mwanaidi Sinare Maajar na kamati iliyochaguliwa kwa ajili ya kuandika rasimu ya katiba..

Mkiti wa kamati mpya akitoa shukrani kwa watanzania wa Metro area.

Kanumba nae alikuwamo katika umati akimsikiliza balozi.

Kaka Tino Malinda akiseti mitambo yake na huku umati ukimsikiliza balozi.

Immanuel Bandawe “The Boss” nae alikuwamo.

Milango iko wazi ubalozini Dc- Mh.Mwanaidi Sinare Maajar

Posted in Uncategorized on January 30, 2011 by sunday Shomari

Mh. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar akitoa hotuba yake mbele ya watanzania waishio Washington Dc metro area.

Pamoja na mambo mengine alitoa nafasi ya watanzania hao kuweza kwenda kumwona ofisini kwake kila Jumanne na kufanikisha uchaguzi wa kamati ya katiba ya jumuiya ya watanzania.

Aidha mh. Balozi pia aliwapa nafasi maafisa wake wa ubalozi kujitambulisha kwa watanzania na pia kutoa mawasiliano yao wazi ikiwemo simu na barua pepe na kuweka bayana kuwa milango ya mawasiliano kati ya ubalozi na watanzania iko wazi. Balozi pia alikuwa wa kwanza kutoa mawasiliano yake wazi mbele ya watanzania wa Washington Dc ikiwemo mpaka nambari yake ya mkononi kitu ambacho hakijawahi kuonekana kwa viongozi wengine waliopita katika ofisi yake.

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.

Join 1,707 other followers