Mayai hatari Marekani! tuwe macho
Shirika la usimamizi na ukaguzi wa chakula la Marekani (FDA) limetangaza hivi karibuni kuwa mayai yatengenezwayo na mashirika kadhaa hapa Marekani yana vijidudu vya Salmonela. Ugunduzi huo umepelekea shirika hilo kuagiza kuondolewa sokoni kwa mayai takriban nusu bilioni.
Kwa mujibu wa shirika hilo Wamarekani wanakula mayai milioni 220 kwa siku, shamba moja lililopo huko Iowa- Hilandale Farms limeondoa sokoni mayai yapatayo milioni 170 baada ya zaidi ya watu 1000 kuugua huko Iowa na majimbo mengine matatu. Waatalam wanaeleza kuwa uzalishaji wa mayai wa shirika moja pekee unaweza kusababisha watu kadhaa hapa Marekani kuugua na mpaka sasa shamba hilo la Hillandale Farms ni la pili kusimamisha uzalishaji wa mayai yake na kuondoa yaliopo madukani.
Inashauriwa kula mayai yaliopikwa na yakaiva vizuri kwani ndio yanaweza kuuwa vijidudu, mayai kama jicho la ng’ombe ambalo halijaiva vizuri au la kukaanga ambalo lina rojo rojo au chips mayai iliyorojorojo ni hatari sana kwa wakati huu.
Ugonjwa unaotokana na vijidudu hivi unaweza kuuwa watoto na wazee na wale walio na chembe chembe za kulinda mwili dhaifu kwa urahisi sana na dalili zake ni kichefu chefu, kuharisha ambako kunaweza kuwa na damu, maumivu ya tumbo na homa.
Watu 2000 katika majimbo mbali mbali wameripotiwa kuugua mpaka sasa kutokana na vijidudu vya Salmonela vilivyotoka kwenye mayai hayo, ushauri wa bure ni kuwa bora kutupa mayai uliyonayo hasa ukiwa hujui ni shirika gani linahusika na kuachana na mayai kwa sasa mpaka hali itakapodhibitiwa. Lakini utajuaje mayai yapi hayafai? Shirika la usimamizi wa chakula limetoa orodha ya mayai kutoka mashirika yanayohofiwa kuwa na Salmonela kama ifuatavyo. Brand ikiwa ni aina ya mayai ikifuatiwa namba ya kiwanda na tarehe ya Julian.
| Brand | Plant Number | Julian Dates |
|---|---|---|
|
Albertson
|
1413
|
136 through 225
|
|
Albertson
|
1026
|
136 through 225
|
|
Albertson
|
1720
|
136 through 229
|
|
Albertson
|
1942
|
136 through 229
|
|
Bayview
|
1686
|
142 through 149
|
|
Boomsma’s
|
1413
|
136 through 225
|
|
Boomsma’s
|
1946
|
136 through 225
|
|
Boomsma’s
|
1720
|
136 through 229
|
|
Boomsma’s
|
1942
|
136 through 229
|
|
Country Eggs
|
1026
|
216 through 221 (15-dozen bulk)
|
|
Country Eggs
|
1946
|
216 through 221 (15-dozen bulk)
|
|
Dutch Farms
|
1946
|
136 through 225
|
|
Farm Fresh
|
1026
|
136 through 225
|
|
Farm Fresh
|
1946
|
136 through 225
|
|
Farm Fresh
|
1720
|
136 through 229
|
|
Farm Fresh
|
1942
|
136 through 229
|
|
Glenview
|
1720
|
136 through 229
|
|
Glenview
|
1942
|
136 through 229
|
|
Hillandale
|
1413
|
136 through 225
|
|
James Farms
|
1720
|
136 through 229
|
|
James Farms
|
1942
|
136 through 229
|
|
Kemps
|
1946
|
136 through 225
|
|
Kemps
|
1720
|
136 through 229
|
|
Kemps
|
1942
|
136 through 229
|
|
Lucerne
|
1413
|
136 through 225
|
|
Lucerne
|
1026
|
136 through 225
|
|
Lucerne
|
1946
|
136 through 225
|
|
Lund
|
1946
|
136 through 225
|
|
Lund
|
1720
|
136 through 229
|
|
Lund
|
1942
|
136 through 229
|
|
Mountain Dairy
|
1951
|
193 through 208
|
|
Mountain Dairy
|
1413
|
136 through 225
|
|
Mountain Dairy
|
1026
|
136 through 225
|
|
Mountain Dairy
|
1720
|
136 through 229
|
|
Mountain Dairy
|
1942
|
136 through 229
|
|
Nulaid
|
1091
|
167 through 174
|
|
Nulaid
|
1951
|
195 through 210
|
|
Pacific Coast
|
1720
|
136 through 229
|
|
Pacific Coast
|
1942
|
136 through 229
|
|
Ralph’s
|
1413
|
136 through 225
|
|
Ralph’s
|
1026
|
136 through 225
|
|
Ralph’s
|
1720
|
136 through 229
|
|
Shoreland
|
1026
|
136 through 225
|
|
Sunny Farms
|
1860
|
099 through 230
|
|
Sunny Farms
|
1663
|
137 through 230
|
|
Sunny Meadows
|
1860
|
099 through 230
|
|
Sunny Meadows
|
1663
|
137 through 230
|
|
Sunshine
|
1413
|
136 through 225
|
|
Sun Valley
|
1951
|
195 through 209
|
|
Trafficanda
|
1413
|
136 through 225
|
Au pakiti ya mayai hayo inaonekana kama hivi ikiwa na namba ya kiwanda na tarehe:
